Urejeshaji wa ikolojia Habari

RSS
31 Habari

Katika ikolojia tete, mwanamme mmoja aendeleza juhudi za kuleta mshikamano kati ya binadamu na nyoka

Mradi wa mazingira mashuleni warejesha miti na kujenga ustahimilivu wa mabadiliko ya tabianchi

Teknolojia ya satelaiti yatumika kubaini na kudhibiti moto kwenye hifadhi za misitu

Urejeshwaji wa mikoko Bagamoyo waongeza kasi licha ya ukosefu wa takwimu

Wanafunzi wawili kutoka Kenya washinda tuzo ya Earth Prize kwa kubuni kichujio nafuu cha moshi wa magari

Mimea vamizi yatishia mifumo ya ikolojia ya hifadhi maarufu za taifa nchini Tanzania

GLF: Nyanda za malisho na wafugaji ni raslimali katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, na si tatizo

Mwanaharakati wa mazingira kutoka Canada avunja rekodi kwa kupanda mikoko 47,460 kwa saa 24 Kenya

Mwanaume Kenya avunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa kupanda miti 23,326 ndani ya saa 24

‘Earth Day’ yaadhimishwa huku wataalam wakipendekeza namna ya kudhibiti maporomoko

Udhibiti wa ukataji misitu nchini Tanzania: Ni vita kati ya uhai na uhifadhi

Baadhi ya wadau wazikataa ripoti, wadai maoni ya wananchi hayakuingizwa

Wakulima wa kahawa Kenya bado wako gizani kuhusu EUDR huku ukataji miti ukiendelea kimyakimya

Mkakati mpya wa kudhibiti upungufu wa papa nchini Kenya unalenga kuwashirikisha wavuvi

Jamii ya Bonde la Kerio inatumainia suluhisho la kudumu baada ya maporomoko ya ardhi kila mara 

Kadri ujangili unavyoendelea, Tanzania inaongeza silaha mpya: mbwa wa kunusa nyara za wanyamapori

Uelewa mdogo unavyochochea kutoweka kimya kimya kwa kakakuona Tanzania

Mbinu za utalii endelevu zapewa kipaumbele katika mkutano wa kimataifa

Wanawake Jomvu Creek, Kenya wanasaidia kurejesha pwani inayotoweka kutokana na ufugaji wa kaa

Utashi wa kisiasa ni kila kitu: Mahojiano na Waziri wa Mazingira Deborah Barasa

Kutoka kulipiza kisasi hadi kuishi kwa amani: Ukuta hai wamaliza migogoro baina ya watu na wanyamapori

Rekodi juu ya rekodi: Truphena Muthoni atambuliwa tena na Guinness kwa saa 72 za kukumbatia mti

Jinsi kampeni inayoongozwa na vijana inavyorejesha uhai wa ardhi oevu ya Dunga katika Ziwa Victoria

Kenya yaomboleza Craig, jitu mpole aliyekuwa mmoja wa ‘Super tuskers’ waliosalia barani Afrika

Toka uhai hadi kifo: Maana ya maisha marefu ya Craig kwa uhifadhi wa tembo

Mageuzi ya kisasa katika uvuvi yawaacha wavuvi wadogo wa Tanzania wakihangaika kukabiliana na maisha

Mpango wa PELIS wa Kenya ‘wauza’ bioanuai ili kupata riziki na faida za miti

Kutoka kuhesabu miti hadi kuongeza ustahimilivu wa tabianchi, Kampala yaelekeza juhudi kwenye misitu yake

Ili kukusanya mbegu za asili bora, wataalamu wa mimea Uganda hukwea miti mirefu ya msituni

Mkakati mpya wa kulinda bioanuai muhimu wazinduliwa Tanzania

Suluhu ya simu kwa mifugo ya wafugaji wa Kenya, afueni kwa wanyamapori pia