Lynet

RSS
165 Habari

Wanawake wa Lamu wavunja vikwazo vya kitamaduni kuingia baharini na kurejesha matumbawe na mikoko

Mradi wa Pemba wa majongoo ya baharini unaolenga kuoanisha biashara na uhifadhi

Kampuni ya Kichina ya uchimbaji wa mchanga wenye madini mazito yahusishwa na uharibifu wa mazingira

Namna wawezeshaji wanavyobadili sura ya urejeshaji wa mikoko

Sharti dunia ijifunze kwa yaliyopita ili kujiandaa kwa tukio lisilo la kawaida la El Niño linaloweza kutokea

Teknolojia inayolenga kubadilisha usimamizi wa taka Kenya, huku ikiibua maswali kuhusu ajira

Washukiwa wanne wakamatwa kuhusiana na vifo vya tembo 18 katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli

Ndani ya Kibera, vijana wageuza mapambano dhidi ya taka kuwa kinga dhidi ya mafuriko 

Wanawake wa jamii za kiasili wanaourejesha Msitu wa Mau nchini Kenya na kubadilisha majkumu ya kijinsia

Wakazi bado wanakabili athari za mgodi uliochafua Mto Kafue, nchini Zambia mwaka 2025

Kuhusu pembe za ndovu, fuatilia mitandao ya usafirishaji haramu, si vichwa vya habari tu (maoni)

Tengefu za baharini zinafunika chini ya asilimia 10 ya maeneo ya papa na papa-kolee, utafiti umebaini

Mwanauhifadhi John Salehe, aliyepigania uhifadhi shirikishi Tanzaia, afariki

Je, rekodi za upanzi wa mikoko ni suluhu ya urejeshaji wa misitu iliyoangamia?

Nchi sita za Afrika sasa zinaunga mkono kusitishwa kwa uchimbaji wa madini katika kina kirefu cha bahari

Kutoka baharini hadi sokoni: Wanawake wanaoendesha biashara ya dagaa Vanga

Nguva wanakaribia kutoweka Kenya, jamii za pwani zapambana kuwarejesha kwa kupanda nyasi bahari

Sensa: Idadi ya tembo Tanzania bado ni chini ya nusu ya ilivyokuwa miaka 20 iliyopita

Mbuzi mwitu maarufu wa Ethiopia warejea kwenye hatari kubwa ya kutoweka

Wakenya wanaopinga kiwanda cha nyuklia wakabiliwa na uchunguzi wa ugaidi

Tafiti: Uchafuzi wa plastiki ndogondogo unaweza kuchochea ongezeko la usugu dhidi ya antibiotiki

Siku ya Walinzi wa Wanyamapori: Walinzi wa jamii wabeba mzigo wa uhifadhi huku ufadhili ukipungua

Teknolojia ya kisasa yabadilisha ukulima wa mwani na kuongeza kipato cha wakulima Kenya

Juhudi za kuondoa mikaratusi ili kumhifadhi mnyama wa kipekee asiyepatikana kwingineko duniani

Njia safi za kupikia zinaongezeka kwa kasi barani Afrika, lakini  bado haziendani na ongezeko la watu

Mahakama yakagua eneo linalobishaniwa Nairobi, huku KWS ikishutumiwa kwa kuwazuia wanaharakati

Kupinga vitalu vipya vya mafuta katika Bonde la Kongo: Mahojiano na mwanaharakati Pascal Mirindi

Kadri akiba ya samaki inavyozidi kupungua katika Ziwa Victoria, wavuvi wageukia vizimba kama tumaini jipya

Taka, wanawake na haki za kimazingira: Ana kwa ana na mwanaharakati wa mazingira Malasen Hamida

Mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu wazua hofu za wanaharakati wa mazingira

Kuboresha uvuvi unaozidi kutapatapa, Kenya yaongeza ukusanyaji wa takwimu za boti za wavuvi wadogo

Kelele baharini: Vita vya jamii kulinda viumbe wa baharini vyapata msukumo wa kimataifa

Taarifa na msukumo kutoka kwa taasisi inayoongoza kwenye juhudi za kulinda mazingira