Lynet

RSS
164 Habari

Kutoka kuhesabu miti hadi kuongeza ustahimilivu wa tabianchi, Kampala yaelekeza juhudi kwenye misitu yake

Kenya: Utata waibuka kuhusu hoteli ya Ritz-Carlton iliyomo kwenye Hifadhi ya Maasai Mara, katikati ya shoruba ya uhamaji wa wanyama

Mpango wa mikopo ya bioanuai ya baharini Kenya yarejesha mikoko – na kuboresha maisha ya watu

Chui waliosahaulika wazidi kutoweka kwenye kivuli cha uwindaji haramu na biashara

Kujengwa kwa bandari mpya Kenya, tishio kwa viumbe baharini, vitega uchumi

Faru 70 kutoka Afrika Kusini wawasili makao mapya nchini Rwanda

Hatari, ustahimilivu vyaelezea maisha ya wahifadhi Afrika

Ufichuaji wa uharibifu wa misitu katika hifadhi ya sokwe baada ya mashambulizi ya M23 nchini DRC

Ili kukusanya mbegu za asili bora, wataalamu wa mimea Uganda hukwea miti mirefu ya msituni

Kenya Kaskazini: Shirika la ufadhili linaloendeshwa na jamii lakumbwa na mgogoro

Kwa mara ya pili sasa, mradi wa kaboni wa Kenya wasimamishwa

Olivier Nsengimana wa Rwanda ahamasisha ulinzi wa Korongo wa Kijivu Afrika Mashariki

Mizimu ya kikoloni ya Mbuga ya ‘Malkia Elizabeth’ yaitesa Uganda

Mkakati mpya wa kulinda bioanuai muhimu wazinduliwa Tanzania

Miji Kenya yatumia mbinu ya Miyawaki kurejesha hadhi iliyopotea ya ikolojia

‘Auawa akiwinda kiharamu’: Utekelezaji wa sheria za wanyamapori unapogeuka vurugu

Utafiti wabaini hifadhi za baharini Tanzania zina manufaa ya muda mrefu kwa jamii

Miti ya miaka 3,000 Tanzania sasa yatambuliwa kama spishi mpya

Kutafuta amani, kupata tumaini: Filamu mpya yachunguza migogoro vijijini mwa Kenya

Ushirikiano, ukusanyaji takwimu na ufuatiliaji vyachochea kufikiwa kwa malengo ya Ukuta wa Kijani wa Afrika

‘Kama wewe, mimi pia nahofia kuangamia kwa tembo’

Kutoonekana kwa tumbili wala gundi Tanzania kwaibua hofu ya kutoweka kwa spishi hiyo

Jamii ya Ogiek walaumiwa na kufukuzwa kwa uharibifu wa misitu, lakini ukataji miti ovyo haujakoma

Je, ng’ombe na wanyamapori wanaweza kuishi pamoja katika Hifadhi ya Maasai Mara?

Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, Wamaasai wa Tanzania yabidi wapunguze mifugo, waongeze miti

Wafichua taarifa wahusisha kampuni ya uwindaji wa kifahari na ujangili Tanzania

Masoko ya Afrika yanakabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ukosefu wa uhakika wa chakula, lakini yanakosa uwekezaji

Wakulima Kenya wageukia mtandao wa WhatsApp na akili mnemba kukabiliana na magonjwa ya mimea

`Mlima wa jongoo’ wa Tanzania watoa spishi sita mpya

Shinikizo kwa mabwawa ya mafunjo Ziwa Viktoria latishia usalama na riziki ya wenyeji

Kwenye mafuriko yanayohusiana na tabianchi, mto nchini Uganda wageuka kuwa sumu

Bomba la mafuta la Afrika Mashariki latupiwa lawama kwa kuharibu makaburi 

Taarifa na msukumo kutoka kwa taasisi inayoongoza kwenye juhudi za kulinda mazingira