Ikolojia Habari

RSS
94 Habari

Uhasama waikumba jamii adimu ya sokwe katika mbuga ya kitaifa ya Uganda

Vita dhidi ya uchimbaji holela wa mawe Mwanza yahitaji elimu na uwajibikaji kuishinda

Uchimbaji holela wa mawe Mwanza waathiri mazingira na jamii

Wasiwasi kuhusu wanyamapori bado unaendelea licha ya uamuzi wa mahakama ya Kenya kuhusu Luxury Safari Camp

Udhibiti wa ukataji misitu nchini Tanzania: Ni vita kati ya uhai na uhifadhi

Mikakati kuokoa misitu Tanzania: Mafanikio, changamoto na mipango ya baadaye

Baadhi ya wadau wazikataa ripoti, wadai maoni ya wananchi hayakuingizwa

Ripoti za tume mbili kuhusu Ngorongoro zafichua ukweli kuhusu uhamaji wa hiari, chanzo cha mgogoro

Taasisi ya utafiti na mafunzo ya wanyamapori yaelekeza nguvu kwenye mafunzo ya vitendo kulinda mazingira

Wakulima wa kahawa Kenya bado wako gizani kuhusu EUDR huku ukataji miti ukiendelea kimyakimya

Mkakati mpya wa kudhibiti upungufu wa papa nchini Kenya unalenga kuwashirikisha wavuvi

Tanzania yakamilisha awamu ya kwanza ya mradi wa umemejua wa MW 50 Kishapu

Safari ya mvuvi wa pwani ya Kenya anayeongoza juhudi za vijana za kuokoa kasa wa baharini

Kasa 350 wawekwa katika viota maalum kufuatia hatari ya kutoweka katika bahari ya Zanzibar

Wataalamu wa mazingira: Huenda maporomoko ya ardhi Chesongoch yaliathiri spishi adimu na mazingira

Kutoka taka hadi thamani: Jinsi mradi unavyogeuza taka kuwa silaha dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

Mbinu za utalii endelevu zapewa kipaumbele katika mkutano wa kimataifa

Wanawake Jomvu Creek, Kenya wanasaidia kurejesha pwani inayotoweka kutokana na ufugaji wa kaa

Rekodi juu ya rekodi: Truphena Muthoni atambuliwa tena na Guinness kwa saa 72 za kukumbatia mti

Wito wa mkwea milima wa UNEP Lewis baada ya kushuhudia barafu za mwisho za Mlima Kenya

Kenya yahifadhi mabaki ya Craig, tembo mashuhuri ‘Super Tusker’

Jinsi kampeni inayoongozwa na vijana inavyorejesha uhai wa ardhi oevu ya Dunga katika Ziwa Victoria

Toka uhai hadi kifo: Maana ya maisha marefu ya Craig kwa uhifadhi wa tembo

Mageuzi ya kisasa katika uvuvi yawaacha wavuvi wadogo wa Tanzania wakihangaika kukabiliana na maisha

Mjini Kivu nchini DRC, Moringa unatoa manufaa muhimu kiafya

Mpango wa PELIS wa Kenya ‘wauza’ bioanuai ili kupata riziki na faida za miti

Hatimaye Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua hatua kuwalinda kasuku wa kijivu wa Afrika kutokana na biashara haramu

Kutoka kuhesabu miti hadi kuongeza ustahimilivu wa tabianchi, Kampala yaelekeza juhudi kwenye misitu yake

Miji Kenya yatumia mbinu ya Miyawaki kurejesha hadhi iliyopotea ya ikolojia

Kipunji: Nyani adimu anayehifadhiwa nchini Tanzania