Uhifadhi Habari

RSS
101 Habari

Mangabey: Nyimbo za jadi zinavyoimarisha uhusiano wa binadamu na tumbili adimu katika misitu ya Tana

Kifo cha Waziri Lukuvi wa Tanzania chaacha pengo katika usuluhishi wa migogoro ya ardhi na uhifadhi

Tanzania yakamilisha awamu ya kwanza ya mradi wa umemejua wa MW 50 Kishapu

Safari ya mvuvi wa pwani ya Kenya anayeongoza juhudi za vijana za kuokoa kasa wa baharini

Kasa 350 wawekwa katika viota maalum kufuatia hatari ya kutoweka katika bahari ya Zanzibar

Kadri ujangili unavyoendelea, Tanzania inaongeza silaha mpya: mbwa wa kunusa nyara za wanyamapori

Shughuli za eneo la mapumziko la kifahari kisiwani Pemba zinaendelea licha ya hofu

Jamii yajitahidi kuzuia kutokomea kabisa kwa chura asiyepatikana kwingineko isipokuwa nchini Kenya

Uelewa mdogo unavyochochea kutoweka kimya kimya kwa kakakuona Tanzania

Utashi wa kisiasa ni kila kitu: Mahojiano na Waziri wa Mazingira Deborah Barasa

Rekodi juu ya rekodi: Truphena Muthoni atambuliwa tena na Guinness kwa saa 72 za kukumbatia mti

Wito wa mkwea milima wa UNEP Lewis baada ya kushuhudia barafu za mwisho za Mlima Kenya

Kenya yahifadhi mabaki ya Craig, tembo mashuhuri ‘Super Tusker’

Jinsi kampeni inayoongozwa na vijana inavyorejesha uhai wa ardhi oevu ya Dunga katika Ziwa Victoria

Uhifadhi wa mazingira ya bahari kupitia tengefu unaleta matumaini kwa wavuvi katika pwani ya Kenya

Kenya yaomboleza Craig, jitu mpole aliyekuwa mmoja wa ‘Super tuskers’ waliosalia barani Afrika

Toka uhai hadi kifo: Maana ya maisha marefu ya Craig kwa uhifadhi wa tembo

Mageuzi ya kisasa katika uvuvi yawaacha wavuvi wadogo wa Tanzania wakihangaika kukabiliana na maisha

Wamiliki binafsi wa ardhi nchini Kenya waungana kulinda ushoroba wa wanyamapori

Sharti Zanzibar ichukue hatua ili kuhifadhi uasilia na utamaduni wa turati yake kwa siku za usoni (maoni)

Kasuku wa Kiafrika waliookolewa warudishwa katika misitu ya DRC

Aloyce Mwakisoma, mhifadhi wa maarifa ya misitu katika Milima ya Udzungwa, afariki na miaka 45

Viwango vya ‘kutisha’ vya sumu vyapatikana kwenye mayai ya kuku wa kienyeji karibu na majaa ya taka

Tembo wanaohama wapata nafasi ya kuzurura kupitia juhudi za uhifadhi wa jamii

Ziwa kuu zaidi barani Afrika huenda likawa eneo la kinu cha nyuklia cha Kenya

Wanasayansi wafikiria upya idadi za uhamiaji za Serengeti kwa kutumia setilaiti na zana za AI

Mwanzilishi wa Mongabay Rhett Butler atajwa kwenye Orodha ya Viongozi wa Uendelevu wa Forbes

Namna uandishi wa habari unavyosaidia kubadilisha taarifa kuwa matokeo

Jinsi Akili Bandia inavyosaidia wahifadhi kuwaelewa vizuri twiga na kuwalinda

Mpango wa PELIS wa Kenya ‘wauza’ bioanuai ili kupata riziki na faida za miti

Je, tunaitambuaje bayoanuwai? Tunaweza kuiona na kuisikia

Hatimaye Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua hatua kuwalinda kasuku wa kijivu wa Afrika kutokana na biashara haramu