Kenya Habari

RSS
129 Habari

Mahakama yasitisha kwa miezi minne ujenzi katika eneo lenye mzozo la Hifadhi ya Taifa ya Nairobi

Afrika yajiandaa kukabiliana na El Niño, wananchi wasema mipango haitoshi

Wanawake watumia ufugaji nyuki kulinda mikoko, kuongeza kipato na kuzuia uharibifu wa misitu ya pwani

Benki za chakula zageuza upotevu wa chakula kuwa milo na kupambana na mabadiliko ya tabianchi

Sera za tabianchi za Kenya zinaahidi usawa, lakini maisha ya wanawake yanasimulia hadithi tofauti.

Kenya yazindua programu ya dola milioni 160 kuimarisha uhifadhi katika hekta milioni 19.7

Fedha na haki za jamii asili, vipaumbele vya Waafrika katika mkutano wa bayoanuwai Yerevan

Alikosa kamongo wa kumpikia mama yake, sasa anawafuga ili kuziba pengo la upatikanaji Ziwa Victoria

Samaki wa maeneo ya nyasi za baharini wana virutubisho vingi zaidi kuliko wa matumbawe, utafiti wapendekeza

Aberdare yakabiliwa na mvutano kati ya uhifadhi wa vyanzo vya maji na uvunaji wa miti ya kibiashara

Upanuzi wa viwanda Dongo Kundu watishia misitu takatifu na mimea ya dawa

Kiwanda cha Dangote ni fahari ya Afrika, lakini mustakabali wa nishati unaelekea upande gani? (Maoni)

Watu wa kiasili kutoka nchi 16 wadai haki, na uhifadhi usiohusisha kuwahamisha kwa lazima

Kenya yazindua rasimu ya sera mpya ya mazingira kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

John Kioli: Mtetezi mkongwe wa hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, afariki

Mbinu za jadi za kutumia moto zaweza kusaidia kuzuia majanga ya moto katika maeneo ya malisho Kenya

Kenya yazindua mkakati mpya wa kuokoa bongo wa mlimani

Simba wapungua Uganda, wataalamu wataka jamii zishirikishwe katika uhifadhi

Maoni: Ukristo unaweza kuwa mshirika katika uhifadhi nchini Kenya

Uzio wa umeme wasababisha vifo vya pangolini 14 karibu na Msitu wa Nyekweri nchini Kenya

Asilimia 45 ya spishi za ndege wahamiaji zinapungua, mkutano wa Nairobi watoa tahadhari

Rastafari wanaogeuza taka kuwa silaha ya kuhifadhi mazingira katika kitongoji duni kikubwa zaidi Afrika

Mbuga ya Kitaifa ya Nairobi yatimiza miaka 80 huku wanamazingira wakipinga miradi ya maendeleo 

Kutoka nyasi bahari hadi plastiki: Wanawake wageuza uhifadhi kuwa chanzo cha kipato

Wanawake wa Lamu wavunja vikwazo vya kitamaduni kuingia baharini na kurejesha matumbawe na mikoko

Namna wawezeshaji wanavyobadili sura ya urejeshaji wa mikoko

Teknolojia inayolenga kubadilisha usimamizi wa taka Kenya, huku ikiibua maswali kuhusu ajira

Washukiwa wanne wakamatwa kuhusiana na vifo vya tembo 18 katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli

Ndani ya Kibera, vijana wageuza mapambano dhidi ya taka kuwa kinga dhidi ya mafuriko 

Wanawake wa jamii za kiasili wanaourejesha Msitu wa Mau nchini Kenya na kubadilisha majkumu ya kijinsia

Je, rekodi za upanzi wa mikoko ni suluhu ya urejeshaji wa misitu iliyoangamia?

Nchi sita za Afrika sasa zinaunga mkono kusitishwa kwa uchimbaji wa madini katika kina kirefu cha bahari