Mangabey: Nyimbo za jadi zinavyoimarisha uhusiano wa binadamu na tumbili adimu katika misitu ya Tana
TANA RIVER, Kenya - Ni siku ya Jumamosi, majira ya asubuhi. Kwa mbali jua limeanza kuchomoza juu ya msitu wa Tana River, na kijiji cha Baomo kinaanza kuamka polepole. Ukimya…