‘Miti iliyotoweka’ yagunduliwa Tanzania na kuleta matumaini mapya ya kurejesha mazingira bora
Mwezi Julai 2023 mtaalamu wa mimea Andrea Bianchi alikuwa akiendesha gari katika Milima ya Nguru iliyoko mashariki mwa Tanzania ambapo aliona maganda makubwa ya matunda ya mti uliokuwa umeota katika…