Watafiti wagundua spishi mpya ya samaki wa killifish nchini Kenya
NAIROBI - Spishi mpya ya samaki wa killifish, inayojulikana kisayansi kama Nothobranchius sylvaticus, imeonekana katika mabwawa ya msimu ya Msitu wa kale wa Gongoni nchini Kenya, kwa mujibu wa utafiti mpya.…