Mimea vamizi yatishia mifumo ya ikolojia ya hifadhi maarufu za taifa nchini Tanzania
Isaack James amesimama kimya katikati ya hifadhi ya wanyama huku akitazama nyasi ndefu zenye mchanganyiko wa rangi ya kijani kibichi na ya njano zilizonyauka kiasi. Kwa mtu wa kawaida kama…