GCF yaongeza washirika hadi 168 huku Kenya ikipata miradi ya tabianchi ya $493 milioni
Green Climate Fund (GCF) kwa sasa una washirika 168 waliothibitishwa, baada ya kuongeza washirika 10 zaidi katika kikao cha bodi kilichofanyika katika makao makuu yake nchini Korea Kusini mwishoni mwa…