Mfumo wa malipo ya fidia kwa wananchi walioathirika na matukio ya uharibifu wa wanyamapori waboreshwa
Wizara ya Maliasili na Utalii imeanzisha mfumo wa Problem Animals Information System (PAIS), mahsusi ulioundwa kusimamia taarifa za matukio ya wanyamapori wakali pamoja na kuratibu na kuwezesha ulipaji wa vifuta jasho/machozi…