Pilipili na usingizi wa amani: Kinamama wa Maasai Mara waandika upya hadithi ya kuishi na tembo waharibifu
Nyimbo za jadi za Kimaasai zinasikika taratibu katika Enkutoto, eneo la Maasai Mara, ambalo kwa miaka mingi limeishi katika kivuli cha migogoro mikali kati ya binadamu na tembo. Chini ya…