Afrika Habari

RSS
73 Habari

Jinsi kampeni inayoongozwa na vijana inavyorejesha uhai wa ardhi oevu ya Dunga katika Ziwa Victoria

Uhifadhi wa mazingira ya bahari kupitia tengefu unaleta matumaini kwa wavuvi katika pwani ya Kenya

Kenya yaomboleza Craig, jitu mpole aliyekuwa mmoja wa ‘Super tuskers’ waliosalia barani Afrika

Toka uhai hadi kifo: Maana ya maisha marefu ya Craig kwa uhifadhi wa tembo

Mwanamke wa Kenya akumbatia mti kwa saa 72 kupinga kupotea kwa miti anayoipenda

Mradi unaoongozwa na wafugaji wa Kitanzania washinda tuzo ya kimataifa kwa kuimarisha uhifadhi

Wamiliki binafsi wa ardhi nchini Kenya waungana kulinda ushoroba wa wanyamapori

Mabadiliko haki ya nishati yamaanisha nini kwa Afrika?

Mahakama Kenya yathibitisha kufutwa kwa leseni ya mradi wa umeme wa makaa ya mawe megawati 1,050

Unadhani Uganda imefanya vya kutosha kuzuia uchafuzi wa Ziwa Albert kwa kuchimba mafuta? (maoni)

Vipi unasafisha paneli za jua sehemu kame? Mifumo isiyo na maji huenda ikaimarisa ufanisi

Sharti Zanzibar ichukue hatua ili kuhifadhi uasilia na utamaduni wa turati yake kwa siku za usoni (maoni)

Kasuku wa Kiafrika waliookolewa warudishwa katika misitu ya DRC

Aloyce Mwakisoma, mhifadhi wa maarifa ya misitu katika Milima ya Udzungwa, afariki na miaka 45

Tembo wanaohama wapata nafasi ya kuzurura kupitia juhudi za uhifadhi wa jamii

Mjini Kivu nchini DRC, Moringa unatoa manufaa muhimu kiafya

Ziwa kuu zaidi barani Afrika huenda likawa eneo la kinu cha nyuklia cha Kenya

Wanasayansi wafikiria upya idadi za uhamiaji za Serengeti kwa kutumia setilaiti na zana za AI

Jinsi Akili Bandia inavyosaidia Wahifadhi Kuwaelewa vizuri Twiga na Kuwalinda

Mpango wa PELIS wa Kenya ‘wauza’ bioanuai ili kupata riziki na faida za miti

Je, tunaitambuaje bayoanuwai? Tunaweza kuiona na kuisikia

Hatimaye Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua hatua kuwalinda kasuku wa kijivu wa Afrika kutokana na biashara haramu

‘Haina maana’: Mwanabiolojia Kenya apinga mpango wa ujenzi wa kiwanda cha nyuklia

Mauaji katika Ziwa Naivasha, Kenya yazua maswali kuhusu jukumu la walinzi wa pwani

Jitihada  za Ethiopia kuingiza zao la kienyeji la enseti kwenye lishe

Kutoka kuhesabu miti hadi kuongeza ustahimilivu wa tabianchi, Kampala yaelekeza juhudi kwenye misitu yake

Kenya: Utata waibuka kuhusu hoteli ya Ritz-Carlton iliyomo kwenye Hifadhi ya Maasai Mara, katikati ya shoruba ya uhamaji wa wanyama

Mpango wa mikopo ya bioanuai ya baharini Kenya yarejesha mikoko – na kuboresha maisha ya watu

Chui waliosahaulika wazidi kutoweka kwenye kivuli cha uwindaji haramu na biashara

Kujengwa kwa bandari mpya Kenya, tishio kwa viumbe baharini, vitega uchumi

Faru 70 kutoka Afrika Kusini wawasili makao mapya nchini Rwanda

Hatari, ustahimilivu vyaelezea maisha ya wahifadhi Afrika