Uwekezaji zaidi wa Dangote Tanzania: Watalaamu wataka matumizi endelevu ya raslimali yazingatiwe

Tanzania iko katika hatua ya kujadili awamu mpya ya uwekezaji kutoka Kundi la Kampuni za Dangote, huku mazungumzo kati ya Serikali na kampuni hiyo yakipanuka kutoka kwenye uwekezaji wa saruji hadi kwenye miradi ya uzalishaji wa mbolea, nishati, bandari, biashara na miundombinu ya usafirishaji. Taarifa za hadi Agosti 2026, zinaonyesha kuwa Serikali ya Tanzania na … Endelea kusoma Uwekezaji zaidi wa Dangote Tanzania: Watalaamu wataka matumizi endelevu ya raslimali yazingatiwe