Mbinu za jadi za kutumia moto zaweza kusaidia kuzuia majanga ya moto katika maeneo ya malisho Kenya

TAITA-TAVETA, Kenya — Wakati mvua za El Niño zinatarajiwa, jamii katika maeneo ya malisho ya Mandhari ya Tsavo zinaangalia zaidi ya ongezeko la malisho na hatari ya mafuriko. Vilevile, mvua hizi zinaweza kuwa mafuta yanayochochea majanga ya moto wakati wa msimu unaofuata wa ukame. Kwa sasa, moto si jambo linalompa wasiwasi Jonathan Mshiri, mkulima, mfugaji na mwalimu … Endelea kusoma Mbinu za jadi za kutumia moto zaweza kusaidia kuzuia majanga ya moto katika maeneo ya malisho Kenya