Rastafari wanaogeuza taka kuwa silaha ya kuhifadhi mazingira katika kitongoji duni kikubwa zaidi Afrika

KIBERA, Kenya — Jua kali la mchana, na upepo wa wastani, vimetanda Magumoini, kijiji cha makazi ndani ya kitongoji duni cha Kibera, Nairobi. Eneo hili liko karibu na Bwawa la Nairobi, mahali ambapo mafuriko na uchafuzi wa mazingira ni matatizo ya kawaida. Nickson Ndeda, mwanamume mwenye umri wa miaka 27, na baba wa watoto watatu, … Endelea kusoma Rastafari wanaogeuza taka kuwa silaha ya kuhifadhi mazingira katika kitongoji duni kikubwa zaidi Afrika