Wakati Tanzania Ikiandaa COP12, Wadau Washauri Vipaumbele vya Bahari
Zikiwa zimesalia siku 39 kabla ya kufanyika kwa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), utakaofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 6–9 Oktoba, na Tanzania kuwa mwenyeji wake, wadau mbalimbali wameeleza matarajio yao kuhusu tukio hilo na fursa ambazo Tanzania inaweza kuzipata kutokana na nafasi yake hiyo. Wakizungumza na Mongabay kwa nyakati tofauti, … Endelea kusoma Wakati Tanzania Ikiandaa COP12, Wadau Washauri Vipaumbele vya Bahari
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe