Washukiwa wanne wakamatwa kuhusiana na vifo vya tembo 18 katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli

Washukiwa wanne wamekamatwa kuhusiana na vifo vya tembo 18 katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli, huku kemikali zisizo na lebo kunaswa. Idadi ya vifo hivyo ilipanda kutoka 16 hadi 18 baada ya tembo wengine wawili kufariki mwezi Agosti, huku uchunguzi ukizidi kuashiria uwezekano kwamba tembo hao walitiwa sumu kwa makusudi. Waziri wa Utalii na Wanyamapori … Endelea kusoma Washukiwa wanne wakamatwa kuhusiana na vifo vya tembo 18 katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli