Ndani ya Kibera, vijana wageuza mapambano dhidi ya taka kuwa kinga dhidi ya mafuriko
KIBERA, Kenya — Safu za paa za bati, kuta za udongo na njia nyembamba zilizojaa watu ndizo unazokutana nazo unapofika katika eneo hili mashariki mwa Mto Ngong. Hii ni Kibera, mojawapo ya makazi duni makubwa barani Afrika, yaliyoko kilomita sita kutoka katikati ya mji mkuu wa Kenya. Makazi hayo yanaenea katika eneo la hekta 225 … Endelea kusoma Ndani ya Kibera, vijana wageuza mapambano dhidi ya taka kuwa kinga dhidi ya mafuriko
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe