Kabla ya kupambazuka katika kijiji cha Eor Ewaso, kusini-magharibi mwa Kenya, Judy Mukut huwa tayari ameamka. Kufikia saa kumi na mbili na nusu asubuhi, anakuwa ameshateka maji, kukamua ng’ombe wa familia, kuandaa kiamsha kinywa, kusafisha nyumba na kuwasindikiza watoto wake shuleni. Baada ya hapo huondoka nyumbani kuelekea kituo cha rasilimali kinachoendeshwa na shirika la wanawake … Endelea kusoma Wanawake wa jamii za kiasili wanaourejesha Msitu wa Mau nchini Kenya na kubadilisha majkumu ya kijinsia
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe