Tengefu za baharini zinafunika chini ya asilimia 10 ya maeneo ya papa na papa-kolee, utafiti umebaini

Mwaka 2022, nchi 196 ziliafiki lengo kuu la uhifadhi linaloitwa “30×30”: kutenga asilimia 30 ya maeneo ya pwani na bahari ya sayari hii kwa ajili ya uhifadhi ifikapo mwaka 2030, chini ya Mfumo wa Kimataifa wa Bioanuwai wa Kunming-Montreal. Sasa, huku mwaka 2030 ukiwa umebakisha takriban miaka minne, asilimia kumi tu ya bahari ndiyo imefunikwa … Endelea kusoma Tengefu za baharini zinafunika chini ya asilimia 10 ya maeneo ya papa na papa-kolee, utafiti umebaini