Je, rekodi za upanzi wa mikoko ni suluhu ya urejeshaji wa misitu iliyoangamia?

Kenya imetambuliwa kimataifa baada ya kupanda miche 4,124 ya mikoko kwa muda wa chini ya sekunde 30, kwa lengo la kuhamasisha juhudi za kurejesha misitu ya mikoko iliyoharibiwa na kuchangia lengo la kitaifa la kuongeza idadi ya miti. Hatua hii iliipa nchi hiyo rekodi ya Guinness World Records. Rekodi hii iliafikiwa katika eneo la Jomvu Kuu, kaunti ya … Endelea kusoma Je, rekodi za upanzi wa mikoko ni suluhu ya urejeshaji wa misitu iliyoangamia?