Nguva wanakaribia kutoweka Kenya, jamii za pwani zapambana kuwarejesha kwa kupanda nyasi bahari
KWALE, Kenya – Zaidi ya miaka 20 imepita tangu Amiri Juma, mvuvi kutoka Kibuyuni, Kaunti ya Kwale, alipomwona nguva (Dugong dugon) katika eneo la Mipwa, kijiji jirani cha Wasini. Hii leo, akiwa na umri wa miaka 63, Juma bado anakumbuka vizuri siku ambayo wavuvi walimnasa mnyama huyo anayejulikana kama ng’ombe wa baharini na kumchinja. “Namjua nguva; aliwahi kushikwa na jarife. Aliyemshika wakati huo … Endelea kusoma Nguva wanakaribia kutoweka Kenya, jamii za pwani zapambana kuwarejesha kwa kupanda nyasi bahari
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe