KWS yaendeleza uchunguzi wa vifo vya tembo Amboseli huku mmoja zaidi akitoweka
Shirika la Huduma za Wanyamapori Kenya (KWS) sasa linachunguza vifo vya tembo 16 katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli-Kimana-Kitenden. Hii ni baada ya tembo mwingine kufa mnamo tarehe 31 Julai, na kuongeza idadi ya vifo vilivyokuwa vimeripotiwa awali. “Kati ya tembo 16 waliokufa, wengi wao walikuwa majike waliokomaa na watoto, huku wote wakionyesha udhaifu na … Endelea kusoma KWS yaendeleza uchunguzi wa vifo vya tembo Amboseli huku mmoja zaidi akitoweka
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe