Shinikizo laongezeka kwa Kenya kuchunguza vifo vya tembo 15 Amboseli, ikiwemo uchimbaji dhahabu

KAJIADO, Kenya – Shinikizo linaendelea kuongezeka dhidi ya Serikali ya Kenya ikitakiwa kufanya uchunguzi wa kina na huru kuhusu vifo vya tembo 15 katika mfumo wa ikolojia wa Amboseli. Hii ni siku chache tu baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Kenya Wildlife Service (KWS) Erustus Kanga kuthibitisha kwamba wanyama hao walikufa baada ya kumeza sumu ya … Endelea kusoma Shinikizo laongezeka kwa Kenya kuchunguza vifo vya tembo 15 Amboseli, ikiwemo uchimbaji dhahabu