Kesi ya kukutwa na meno ya tembo: Mahakama yatupa rufaa ya Jamhuri

Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imeitupilia mbali rufaa ya Jamhuri ya kupinga hukumu iliyowaachia huru Yahaya Juma na mwenzake. Washitakiwa hao walikuwa wanadaiwa kukutwa na vipande 18 na meno matatu ya tembo yenye thamani ya Dola za Marekani 120,000. Hukumu ya Mahakama hiyo ilitolewa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Stephen Magoiga … Endelea kusoma Kesi ya kukutwa na meno ya tembo: Mahakama yatupa rufaa ya Jamhuri