Kesi ya kumiliki nyara za Serikali: Mahakama yabatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela
DAR-ES-SALAAM, Tanzania — Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imekubali rufaa ya Yegela Nchola na kubatilisha hukumu ya kutiwa hatiani na kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kumiliki nyara za Serikali kinyume cha sheria. Mahakama hiyo pia mbele ya Jaji Musa Pomo imeamuru kesi hiyo isikilizwe upya mbele ya mahakama yenye mamlaka. Awali, Mahakama … Endelea kusoma Kesi ya kumiliki nyara za Serikali: Mahakama yabatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe