Raia wa Korea Kaskazini anayedaiwa kukutwa na meno ya tembo, aachiwa huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imemwachilia huru na kuamuru aondoke nchini Raia wa Korea Kaskazini Un Hyok Ra (37) aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kuomba hivyo kwa maelezo kwamba upande wa Jamhuri hawana nia ya kuendelea na shauri hilo. Maombi hayo ya Jamhuri … Endelea kusoma Raia wa Korea Kaskazini anayedaiwa kukutwa na meno ya tembo, aachiwa huru
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe