Kelele baharini: Vita vya jamii kulinda viumbe wa baharini vyapata msukumo wa kimataifa

Katika eneo la jeti, Mtangawanda, Kaunti ya Lamu, kwenye ufuo wa Bahari ya Hindi, mwendo wa saa sita mchana, Omar Shafi ameketi kwenye kivuli cha banda la wavuvi, akikarabati kwa makini nyavu yake ya kuvulia samaki. Ni shughuli ambayo anaifanya kila siku baada ya kutoka baharini kuvua samaki. Anapomaliza, yeye huiweka sehemu salama kwa ajili ya … Endelea kusoma Kelele baharini: Vita vya jamii kulinda viumbe wa baharini vyapata msukumo wa kimataifa