Aliyetiwa hatiani kwa kukutwa na nyara za Serikali aondolewa adhabu ya kifungo
DAR ES SALAAM, Tanzania – Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Katavi imemuondolea adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela Elvis Kalonga aliyetiwa hatiani kwa kukutwa na nyara za Serikali kwa sababu ya dosari na mkanganyiko uliobainika katika ushahidi wa upande wa mashtaka. Jaji Mfawidhi, Godfrey Isaya ilitoa hukumu Juni 16,2026 baada ya kusikiliza rufani iliyowasilishwa … Endelea kusoma Aliyetiwa hatiani kwa kukutwa na nyara za Serikali aondolewa adhabu ya kifungo
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe