Katika Mkondo wa Mida nchini Kenya, wavuvi sasa wanakabiliana na mabadiliko ya bahari kwa matumaini

WATAMU, Kenya – Kufikia adhuhuri, samaki walikuwa bado hawajafika. Tangu saa mbili asubuhi, Alice Kazungu alikuwa ameketi kwenye bandari ya samaki katika eneo la Mkondo wa Mida kwenye pwani ya Bahari ya Hindi ya Kenya, akisubiri wavuvi warudi kutoka majini. Saa kadhaa baadaye, alikuwa bado anasubiri. Karibu naye, mwanamke mwingine anaangalia mkondo ili kuona dalili za mitumbwi inayokaribia. Baadhi … Endelea kusoma Katika Mkondo wa Mida nchini Kenya, wavuvi sasa wanakabiliana na mabadiliko ya bahari kwa matumaini