Mbinu za uchakachuaji wa mwani zaongeza juhudi za kuimarisha soko nchini
KWALE, Kenya – Kila siku asubuhi maji yanapopungua katika ufuo wa bahari wa Kibuyuni, Kaunti ya Kwale kusini mwa pwani ya Kenya, Salim Ahmed na wakulima wenzake wa mwani huelekea baharini kuangalia mashamba yao. Ahmed amefanya ukulima wa mwani kwa miaka mitatu sasa. Ukosefu wa ajira na uhaba wa fursa za kiuchumi vilimsukuma kutafuta njia … Endelea kusoma Mbinu za uchakachuaji wa mwani zaongeza juhudi za kuimarisha soko nchini
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe