Kenya yawa nchi ya kwanza barani Afrika kupokea ufadhili wa kukabiliana na majanga ya tabianchi

Kenya imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika na ya pili duniani kunufaika na ufadhili huo wa kukabiliana na majanga ya tabianchi, msaada unaolenga kusaidia waliopata hasara na uharibifu unaotokana na mabadiliko ya tabianchi katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Fedha hizo, kiasi cha KSh90 milioni ($700,000) kutoka Santiago Network on Loss and Damage, mfumo wa … Endelea kusoma Kenya yawa nchi ya kwanza barani Afrika kupokea ufadhili wa kukabiliana na majanga ya tabianchi