Bioanuwai hatarini: Uhamisho wa kituo cha wanyama yatima wazua wasiwasi miongoni mwa wahifadhi

NAIROBI, Kenya – Huku dunia ikisherehekea Siku ya Kimataifa ya Bioanuwai, tangazo la kuhamishwa kwa kituo cha Nairobi Animal Orphanage linazua mjadala mkubwa kati ya Huduma ya Wanyamapori Kenya (Kenya Wildlife Service – KWS) na makundi ya wanaharakati wa mazingira ambao wameishutumu serikali ya Kenya kwa kutumia mamlaka yake kupita kiasi bila kuzingatia maoni ya wadau … Endelea kusoma Bioanuwai hatarini: Uhamisho wa kituo cha wanyama yatima wazua wasiwasi miongoni mwa wahifadhi