Tanzania yaandaa mkakati wa usimamizi wa taka ngumu kwa ajili kutunza mazingira
Serikali ya Tanzania imeandaa Mkakati wa Taifa wa Usimamizi wa Taka (2025-2030) ambao unalenga kupunguza uzalishaji wa taka kwa kutumia dhana ya uchumi wa mzunguko ili kutunza mazingira, kuimarisha afya ya jamii na kukuza maendeleo endelevu ya miji. Mkakati huo umekuja kipindi ambacho uzalishaji wa taka ngumu unazidi kuongezeka nchini huku usimamizi wake ukiwa wa … Endelea kusoma Tanzania yaandaa mkakati wa usimamizi wa taka ngumu kwa ajili kutunza mazingira
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe