Teknolojia ya satelaiti yatumika kubaini na kudhibiti moto kwenye hifadhi za misitu

Katika juhudi za kubaini matukio ya moto mapema na kuudhibiti kabla ya kuenea na kusababisha madhara makubwa katika hifadhi za misitu, Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania unafanya ufuatiliaji wa moto nchi nzima kwa kutumia teknolojia ya satelaiti. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Ashatu Kijaji wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato … Endelea kusoma Teknolojia ya satelaiti yatumika kubaini na kudhibiti moto kwenye hifadhi za misitu