Urejeshwaji wa mikoko Bagamoyo waongeza kasi licha ya ukosefu wa takwimu
Karibu maeneo yote ya ukanda wa pwani wa Tanzania yanaendelea kukabiliwa na shinikizo linalotokana na maendeleo ya pwani, uvunaji wa kuni na athari za mabadiliko ya tabianchi. Hata hivyo, Bagamoyo inaonyesha dalili za mafanikio katika juhudi za urejeshaji wa mikoko zinazoungwa mkono na jamii pamoja na mashirika ya uhifadhi. Tanzania inakadiriwa kuwa na takribani hekta … Endelea kusoma Urejeshwaji wa mikoko Bagamoyo waongeza kasi licha ya ukosefu wa takwimu
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe