Mwezi Machi mwaka huu wa 2026 ulikuwa na shughuli nyingi, hasa kwa upande wa dini. Waislamu pamoja na baadhi ya waumini wa Kikristo walikuwa katika vipindi vya mfungo wa Ramadhani na Kwaresima, ambavyo vilihitimishwa kwa sikukuu za Iddi el-Fitri na Pasaka, mtawalia. Mwezi huohuo, Kenya ilikumbwa na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko na vifo vya watu … Endelea kusoma Utunzaji wa mazingira kwa mtazamo wa Sheikh: Nafasi ya dini katika kuifanya dunia kuwa bora kimazingira
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe