Kenya yawapokea Swala wa milimani adimu waliorudishwa kutoka bustani za wanyama Ulaya
Wiki hii Kenya imepokea kundi la swala wa milimani walio katika hatari kubwa ya kutoweka, wakitokea Jamhuri ya Czech ambako walikuwa wakihifadhiwa chini ya usimamizi wa Bustani ya Wanyama ya Zoo Dvůr Králové. Urejeshaji wa swala hao wanne dume, waliokulia katika bustani mbalimbali za wanyama chini ya mpango wa uhifadhi nchini Uingereza, ni hatua muhimu … Endelea kusoma Kenya yawapokea Swala wa milimani adimu waliorudishwa kutoka bustani za wanyama Ulaya
Nakili na ubandike URL hii kwenye wavuti yako ya WordPress ili uambatanishe
Nakili na ubandike msimbo huu kwenye wavuti yako ili uambatanishe