Uelewa mdogo unavyochochea kutoweka kimya kimya kwa kakakuona Tanzania

Bweni la wavulana wa shule moja ya sekondari iliyoko karibu na hifadhi ya Misitu ya Minziro Mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa Tanzania, limezungukwa na miti na vichaka vikubwa. Jioni moja, wakati wanafunzi wameketi nje wakiongea, mara wanaona majani yakitikisika, na taratibu mnyama mdogo kwa umbo mwenye magamba anachomoza. “Ni kakakuona!” Wote wanalipuka kwa furaha. Furaha yao … Endelea kusoma Uelewa mdogo unavyochochea kutoweka kimya kimya kwa kakakuona Tanzania